Mwandishi wa Habari wa Shirika la Magazeti ya Serikali, Zanzibar Leo Ofisi ya Pemba, Haji Nassor Mohammed akizungumza na Mgombea Ubunge wa jimbo la Chambani Kupitia Tiketi ya CUF, Yussuf Salim Hussein, huko katika kituo cha Ngwachani
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Chambani kwa tiketi ya CHADEMA Siti Ussi Shaibu akizungumza na mwandishi wa habari wa ZENF FM Is-haka Mohamde Rubea karibu na kituo cha kupigia kura cha skuli ya Ukutini kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa ubunge wa Jimbo la Chambani
Waandishi wa habari wakiwa kazini kumhoji mbunge mteule wa jimbo la CHAMBANI jana usiku, huko mzingani
Picha zote na Haji Nassor na Abdi Suleiman, Pemba
No comments:
Post a Comment