Habari za Punde

Wanafunzi wa Bububu wanufaika na Matunda ya Mwakilishi Wao BHAA.

 Wanafunzi wa Jimbo la Bububu wakiwa katika harakati za kupanda basi lao la Wanafunzi lililotolewa na Mwakilishi wao Husein Ibrahim Bhaa, Basi hilo limekuwa mkumbozi wa usafi wakati wa kwenda na kurudi skuli, na kupunguza adha za usafiri waliokuwa wakipata wakati wa kurudi majumbani.

1 comment:

  1. Nampongeza muheshimiwa, tunahitaji wawakilishi kama huyu, nawapa challenge wengine kama kweli ni watetezi wa watu wao

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.