Habari za Punde

Unaikumbuka timu hii

Photo: MLANDEGE TEAM ENZI ZAO ZA UKWELI

Wenye kumbukumbu ni timu gani hii. Unaweza kutupatia majina ya wachezaji?

5 comments:

  1. Loo kweli bwana namkubuka huyu Goal kipa wao sijuwi yupo wapi kwa sasa miaka miaka inapita nakumbuka walikuwa wachezaji hao wakipita mtaani kwetu pale mbuyu taifa wakielekea kiwanjani kwao lumumba sijuwi kama ule mbuyu bado kama upo

    ReplyDelete
  2. Hiyo sio timu ya Small Simba?
    Kama sijakosea wachezaji niliowaona ambao na wafahamu ni Karume Mussa, Faria Shawal, Othman Masoudi.. wengine siwajui.

    ReplyDelete
  3. MLANDEGE ,HAPO NAMKUMUKA SATARI,ABDUL MALAIKA ,SHEM FRANK, ABDUL PIRA MALAI ,NA JUMA BAKARI KIDISHI,MADOLE

    ReplyDelete
  4. sio mchezo hapo 1 ni kipa abdull satary 2 maalim ussi 3 muhidini siso 4 waziri seif 5 muhammed babech 6 shem frenk mkiristo 7 simkumbuki waliochuchama 1 simkumbuki 2 said Suleiman 3 eddy odo abdu pira 4 juma kidishi 5 simkumbuki

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.