Habari za Punde

Mchezo wa Mpira kuibua Vipaji Huanzia Mchangani.

 Kipaji cha mchichezo kwa watoto huazia katika hatua za chini ndiko huibuka kipaji cha mchezo wowote ule na kwa mchezo wa mpira waguu huazia katika viwanja vya mchangani katika mpira wa kandimu, kama wanavyoonekana watoto hawa wakicheza mpira katika mtaa wa Michenzani jana.









No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.