Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
Tume ya Mapendekezo ya katiba kwa watanzabia wanaoishi Marekani imeundwa ili kukusanyamaoni na mapendekezo kutoka kwa watanzania wore waishio nchini Marekani na Canada.
Wengi wa hawa ni wamarekani wenye asili ya Tanzania na sio watanzania waishio Marekani. Huwezi kuishi Marekani kama wewe ni Mtanzania. Wako ambao wana Green Card lakini hawa baada ya miaka mitano huwa wamarekani. Wako wachache wanaofanya kazi katika mashirika ya kimarekani na wanaendelea kuwa watanzania.
Ndio maana ukaona wanataka uraia wa nchi mbili (dual citizenship). Wengi washapoteza uraia wa Tanzania kwa kuwa wamechukua uraia wa US. Sasa inakuwaje wanataka kutoa maoni ya katiba mpya ya Tanzania?
Hata mimi hushangazwa na suala hili kwa kiasi Fulani. Watanzania wengi wanaoishi Marekani au hata nchi nyengine za magharibi wamepoteza sifa ya Utanzania baada ya kuomba uraia wa nchi hizo kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Lakini pia ni vyema ifahamike kwamba si kila anaeishi nje ameomba uraia wa nchi hizo. Mimi binafsi nimekua nikiishi Marekani kwa zaidi ya miaka 20 na bado naendelea kubakia na uraia wangu wa Tanzania. Hakuna anaekulazimisha kuasi uraia wako na wala si lazima kuomba uraia baada ya kuishi Marekani kwa miaka 5 ni uwamuzi wa mtu binafsi.
Tupo wengi ambao tunahaki ya kuchangia suala la katiba mpya.
Wengi wa hawa ni wamarekani wenye asili ya Tanzania na sio watanzania waishio Marekani. Huwezi kuishi Marekani kama wewe ni Mtanzania. Wako ambao wana Green Card lakini hawa baada ya miaka mitano huwa wamarekani. Wako wachache wanaofanya kazi katika mashirika ya kimarekani na wanaendelea kuwa watanzania.
ReplyDeleteNdio maana ukaona wanataka uraia wa nchi mbili (dual citizenship). Wengi washapoteza uraia wa Tanzania kwa kuwa wamechukua uraia wa US. Sasa inakuwaje wanataka kutoa maoni ya katiba mpya ya Tanzania?
Hata mimi hushangazwa na suala hili kwa kiasi Fulani. Watanzania wengi wanaoishi Marekani au hata nchi nyengine za magharibi wamepoteza sifa ya Utanzania baada ya kuomba uraia wa nchi hizo kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
ReplyDeleteLakini pia ni vyema ifahamike kwamba si kila anaeishi nje ameomba uraia wa nchi hizo. Mimi binafsi nimekua nikiishi Marekani kwa zaidi ya miaka 20 na bado naendelea kubakia na uraia wangu wa Tanzania. Hakuna anaekulazimisha kuasi uraia wako na wala si lazima kuomba uraia baada ya kuishi Marekani kwa miaka 5 ni uwamuzi wa mtu binafsi.
Tupo wengi ambao tunahaki ya kuchangia suala la katiba mpya.
Mdau.
USA/ZANZIBAR.