ZOEZI LA UTOAJI CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO LAANZA RASMI MKOANI MANYARA
-
-Mifugo 400 yachanjwa na kutambuliwa Mkoani Manyara.
-Wafugaji wamshukuru Dkt. Samia kwa Ruzuku ya Chanjo za Mifugo.
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na U...
2 hours ago
Kama ni kweli SMZ imepania ktk afya kama anavyosema Dr.Shein, nadhani Z'bar itapiga hatua.
ReplyDeleteJambo la msingi sasa ni kuboresha elimu ya sekondari iweze kutoa wanafunzi wengi wa sayansi watakaoweza kujiunga na chuo hicho.
Suala la kuunganisha chuo cha afya mbweni na SUZA ni jambo jema lkn. pia tufikirie kukiendesha chu hiki ktk misingi ya utandawazi ili ivutie w'fuzi kutoka nje ya Z'bar.
Hii itasaida chuo kuonekana chenye sura ya kitaifa na kimataifa na pia kujiendesha kibiashara kwani SMZ hawataweza kukiendesha SUZA milele!