Habari za Punde

Buriani Mwalim Ahmada Ali Haji, Azikwa Kijiji kwao Bwejuu Zenj.


 Waumini wa dini ya Kiislam wakiusalima mwili wa marehemu Mwalim Ahmada Ali Haji, aliyefariki leoalfajiri nyumabi kwake Michezani jumba namba 5. Marehemu aliwahi kuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Serekali la Nuru, Marehemu amezikwa leo Kijiji kwake Bwejuu Wilaya ya Kusini Unguja.
 Waumini wa dini ya Kiislam wakisitikia dua baada ya kuusalia mwili wa marehemu Mwalim Ahmada Ali Haji, uliosaliwa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Bwejuu.



1 comment:

  1. Allahumma ghfirallahu, warhamhu, wamaskanahu fil jannah!!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.