Habari za Punde

Mambo ya Harakati Soko la Samaki na Nyama Zenj..


 Wananchi wakiwakatika harakati za kutafuta Kitooleo aina ya smaki  katika marikiti kuu ya darajani, katika kipindi hichi samaki wamekuwa na bei kutokana na hali ya bahari kuwa na upepo wa hapa na pale. kipande kimoja cha samaki katika soko hilo kiliuzwa kwa shilingi 2000/= na kuendelea na samaki aina ya sehewa aliuzwa kwa shilingi 4500/=  usisema samaki wa kabila aina ya changu aliuzwa kwa shilingi 4500/- na 10,000/= inategemea ukubwa wa samaki.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.