Habari za Punde

Mdau wa Michezo Zenj Aipiga Tafu Timu ya Taifa ya Zanzibar

 Mdhamini wa Michuano ya Jimbo la Mfenesini Zanzibar Kheri Adam, akizungumza na wachezaji wa timuya Taifa ya Zanzibar baada ya kukabidhi vifaa kwa ajiliya timu hiyokuweza kujiandaa na maandalizi hayo ya michuano ya chalenji, makabidhiano hayo yamefanyika katika kambi ya timu hiyo ilioko katika hoteli ya bwawani Zanzibar. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.