Habari za Punde

Bunge la Vijana Linalowakutanisha Vijana wa Unguja na Pemba kukutana Kesho.


 Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Bwa. Yahya Khamis Hamad, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na kukamilika kwa mkutano wa Bunge la Vijana Zanzibar litakalofanyika katika Ukumbi wa Baraza wa Zamani Kikwajuni, na kuwashirikisha Vijana kutoka Unguja na Pemba.linalotarajiwa kufanyika kesho.
 Afisa Uhusiano wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Himid Choko, akitowa ufafanizi wa mkutano huo wa Bunge la Vijana linalotarajiwa kufanyika kesho katika ukumbi wa Baraza wa Zamani Kikwajuni.
 Wadau wa habari Zanzibar wakimsikiliza Katibu wa Baraza laWawakilishi Zanzibar Yahya Khamis Hamad, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mkutano wa Bunge la Vijana Zanzibar linalotarajiwa kufanyika kesho na kuwakutanisha Wabunge Vijana wa Unguja na Pemba na kuzungumzia maswala mbalimbali, bunge hilo litafanyika katika Ukumbi wa Baraza la Zamani Kikwajuni na taratibu zote zimekamilika. ikiwa ni kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kuwakutunisha Vijana kuzungumzia maswali yao kisheria.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.