Habari za Punde

Dk Shein azindua mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar

TA1A3659Baadhi ya wafanya biashara  walioalikwa katika sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort,palipofanyika hafla hiyo jana,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A3687Kikundi cha Calture Muzical Club,kikitumbuiza wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,zilizofanyika jana katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort, {Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A3688Miongoni mwa Viongozi,wafanyabiashara na wananchi walioalikwa katika sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort,palipofanyika hafla hiyo jana,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A3703 Picha ya kuchora ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,iliyobebwa na Katibu wa kamati ya Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar,Ali Khamis ikinadishwa kuuzwa katika Uzinduzi wa  Mfuko huo jana,katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort,palipofanyika hafla hiyo jana,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A3717Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi  Viatu vya makubadhi Mkurugenzi wa Rakgas Zanzibar Protase Ishengoma,wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar, katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort,palipofanyika hafla hiyo jana,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A3724Katibu wa kamati ya Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar, Nd,Ali Khamis na Mshereheshaji wa Sherehe za uzinduzi wa mfuko huo Chimbeni Khair,wakinadisha Picha Mji Mkongwe wa Zanzibar iliyotengenezwa kwa ubunifu wa kutumia majani  makavu ya Mgomba,katika hafla ya iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A3726Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa PPF Willium Erio, Picha Mji Mkongwe wa Zanzibar iliyotengenezwa kwa ubunifu wa kutumia majani makavu ya Mgomba,aliyonunua kwa shilingi za Kitanzania Millioni Tano, wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mfuko wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar, katika ukumbi wa mikutano Zanzibar Beach Resort  jana,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.