Habari za Punde

Maalim Seif Ahudhuria Kongamano la Wanafunzi wa Chuo cha Chwaka.

 Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kongamano la Wanafunzi wa Chuo Cha Fedha,chwaka kuzungumzia Elimu 

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akipokea zawadi kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Cha Uongozi wa Fedha Chwaka Bw. Iddi Haji Makame. 
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Chuo pamoja serikali ya wanafunzi ya chuo hicho. (Picha na Salmin Said OMK).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.