Miradi ya maendeleo miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar ni Uimarishaji wa miundombinu ya barabara mbalimbali Kisiwani Pemba kutowa huduma ya ufanisi kwa watumiaji wa barabara hizo na kuleta urahisi wa kusafirisha mazao mashambani hadi mjini, kama inavyoonekana barabara hii ya Finya mzambarau takawa kuelekea barabara za Micheweni,Konde
DCI MSTAAFU BALOZI ADADI RAJAB OCTOBA 29 TUJITOKEZENI KWA WINGI KUPIGA KURA
AMANI NA UTULIVU VITATAWALA
-
-Awataka watanzania kutoka kwa wingi kupiga kura kumchagua Dkt Samia
Suluhu,Wabunge na Madiwani wanaotokana na CCM.
Na Oscar Assenga,MUHEZA.
MKURUG...
2 hours ago

NAONA HAYO MATUNDA MAPINDUZI YASHAOZA KAKA HIYO BARABARA HAINA HATA ALAMA Z BARABARA ,HATA CHAKI BASI INAYO ONESHA UPANDEMMOJA WA BARABARA ????MPITA MIGUU APITE WAPI ,WENYWE BAISKELI APITE WAPI ,,,, AU KWA VILE IMETIWA LAMI NDO BARABARA ,,,,ACHENI KUDANGANYA WATUUUUUUUUU
ReplyDeleteBarbara nzuri Sana. Tuhongere. Mungu ibariki Zanzibar. I love it!!!
ReplyDelete