Miradi ya maendeleo miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar ni Uimarishaji wa miundombinu ya barabara mbalimbali Kisiwani Pemba kutowa huduma ya ufanisi kwa watumiaji wa barabara hizo na kuleta urahisi wa kusafirisha mazao mashambani hadi mjini, kama inavyoonekana barabara hii ya Finya mzambarau takawa kuelekea barabara za Micheweni,Konde
WADAU WAPONGEZA JUHUDI ZA WAZAZI KUTATUA CHANGAMOTO ZA ELIMU WILAYA YA
MPIMBWE
-
*Sehemu ya wazazi wakiwa katika mikutano na washiriki wa Maadhimisho ya
Juma la Elimu (GAWE) 2025, kwenye ziara katika shule mbalimbali ndani ya
Halma...
32 minutes ago
NAONA HAYO MATUNDA MAPINDUZI YASHAOZA KAKA HIYO BARABARA HAINA HATA ALAMA Z BARABARA ,HATA CHAKI BASI INAYO ONESHA UPANDEMMOJA WA BARABARA ????MPITA MIGUU APITE WAPI ,WENYWE BAISKELI APITE WAPI ,,,, AU KWA VILE IMETIWA LAMI NDO BARABARA ,,,,ACHENI KUDANGANYA WATUUUUUUUUU
ReplyDeleteBarbara nzuri Sana. Tuhongere. Mungu ibariki Zanzibar. I love it!!!
ReplyDelete