Habari za Punde

Maali Seif Ahutubia Wanachama wa CUF Kisarawe

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Msanga, Wilaya ya Kisarawe.
Naibu Mkurugenzi wa Haki za Binadamu, Habari na Uenezi wa CUF Taifa bwa. Abdul Kambaya, akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Msanga, Wilaya ya Kisarawe. 
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhi baiskeli kwa nd. Khamis Salum mwenye ulemavu, mkaazi wa Kisarawe.
Wasanii wakitoa burdani kwenye mkutano wa CUF uliofanyika kijiji cha Msanga Wilayani Kisarawe.
 Baadhi ya wananchi wakifuatilia mkutano wa CUF uliofanyika kijiji cha Msanga Wilayani Kisarawe. (picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.