Habari za Punde

Maalim Seif ndani ya Capital TV

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amefanya mazungumzo maalum na kituo cha Televisheni cha "Capital TV' cha Dar es Salaam.
 
Katika mazungumzo hayo waligusia masuala kadhaa yakiwemo hali ya siasa Tanzania, Demokrasia, Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Kipindi Maalum kwa ajili ya mazungumzo hayo kitarushwa na kituo hicho tarehe 27/01/2014 kuanzia saa 2.45 usiku. Pamoja naye ni mtayarishaji wa vipindi wa "Capital TV" Frank Morandi. (picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.