Habari za Punde

Wachungaji wamuombea Rais Mstaafu Dkt. Salmin Amour

01 (1) Mratibu wa Dua Maalum ya kuiombea Zanzibar kwenye mkesha wa mwaka mpya Allen Mbaga kutoka kanisa la Tanzania fellowship of churches (TFC) aliesimama kulia akiwatambulisha wachungaji waliofika nyumbani kwa Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin Amour Juma kwa lengo la kumtembele na kumuombea huko Migombani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.02 Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma wakuli alievaa kofia akiwapa historia ya Bara la Afrika kabla ya ukombozi wachungaji wa Zanzibar walipofika nyumbani kwake kumtembele jana huko nyumbani kwake Migombani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.04Wachungaji wakiongozwa na Askofu Fabian Obedi kutoka kanisa la Pentekoste Zanzibar wa tatu kushoto wakimuaga Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma mara baada ya kumaliza kumuombea nyumbani kwake Migombani Zanzibar Dec 31/2013.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

2 comments:

  1. panahitaji mazingatio kwa wale wenye akili ni KOMANDOO yule ninanemjua mimi leo ndie yule alie kalia kiti kibovu SUBBUHANA ALLAH.

    ReplyDelete
  2. Waswahili wansema aliye juu mngojee chini.Washangaa kuiona bahari kujaa na kupwa?? hahahaa

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.