MSHAMBULIAJI
wa timu ya ‘Combine’ ya mkoa wa Kaskazini Pemba katikati, Khamis Abrahaman
‘Mburu’ akiwa ameshawatoka walinzi wa timu ya ‘combine ya mkoa wa Kusini Pemba,
kwenye mchezo maalumu wa kuchagua wachezaji watakaounda timu ya taifa ya
Tanzania, itakayoshiriki mashindano ya AFCON 2015, mchezo uliochezwa uwanja wa
Gombani, na kusini Pemba kushinda kwa magoli 3-1 (picha na Haji Nassor, Pemba)
WA
kwanza kulia ni mlinzi wa timu ya ‘Combine ya kusini Pemba, Said Idrisa, akichuuna
vikali na mshambuliaji wa timu ya ‘combine’ ya mkoa wa kaskazini Pemba, Khamis
Abrahaman ‘Mburu’ kwenye mchezo maalumu
wa kuchagua wachezaji watakaounda timu ya taifa ya Tanzania, itakayoshiriki
mashindano ya AFCON 2015, mchezo uliochezwa uwanja wa Gombani, ambapo kusini
Pemba ilishinda kwa magoli 3-1 (picha na
Haji Nassor, Pemba)
No comments:
Post a Comment