Habari za Punde

Uharibifu wa Mazingira Hayooo....

Huu ni Uharibifu wa mazingira katika makazi ya Wananchi, Kama inavyoonekana pichani kuna baadhi ya Wafanyabiashara wameutelekeza Unga wa Uanga ambao umeharibika na kutokufaa kwa matumizi ya Binaadamu, ukiwa umetupwa katika eneo hili na kuufanya kama ngazi za kupitia wananchi kuelekea nyerere ikizingatiwa wakati huu wa mvua unaweza kusambaa na kuleta madhara kwa wananchi wa eneo hilo 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.