Habari za Punde

Mambo ya Kupendwa na Wadau wa Mitandao ya kuchati Majuu

 Mambo ya kuchati hayo kwa Vijana wakiwa nje ya jengo la Ofisi ya Zanlink majestik wakipata huduma hiyo bure bila ya malipo wakichati na ndugu na jamaa na wengine hutumia free hiyo kwa kujisomea mambo ya majuu. 
Kiboda boda kikiwa katika soko maeneo ya Mpendae ikipaki chini ya bango la kuonesha mitaa pembeni ya barabara ya Kwa Mchina kwenda Kiembesamaki.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.