Habari za Punde

Mdau mambo ya Usafiri Huo Zenj

 Mdau hapa nani wa kulaumiwa Wananchi au dereva wa gari hii akiwa na abiria wengine wakininginia lugha za mjini wako deki, Kwa bahati mbaya gali hii ikipata ajali abiria ndio wa mwazo kutowa tuhuma kwa dereva na utingo wao bila kujuwa na wao wamechangia kukubali kupanda gari iliokuwa imeshajaa.Daladala hii ni ya njia ya Mwanyanya.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.