Habari za Punde

Shekh. Maulid Nassor Akitowa Dawa kupitia Ujumbe huuu

Muumini Dini ya Kiislam Zanzibar Shekh. Maulid Nassor Suleiman, kutoka Pandani Pemba akiwa katika viwanja vya Ijitimai Fuoni akiwa na  Ujumbe wake unaotowa mafunzo kwa Waumini wa Dini ya Kiislam kama unavyosomeka na kutowa elimu hiyo kwa waumini waliofika Ijitimai.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.