Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawkilishi Kuchangia Bajeti ya Wizara ya MIundombinu na Mawasiliano Zanzibar.

 Mjengo wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar ukiendelea na Mikutano ya Bajeti ya Wizara za Serekali ya Mapinduzi Zanzibar.
Mhe. Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho, akimsikiliza Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake kwa Wajumbe wa Baraza.
Mwakilishi wa Mji Mkongwe Mhe Ismail Jussa akifuatilia Hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano ikiwasilishwa na Waziri husika. 
Wajumbe wakifuatilia michango ya Wajumbe wakiwasilisha kuchangia Bajeti ya Wizara ya Mawasiliano Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2014/2015
Wafanyakazi wa Idara za mbalimbali zilioko katika Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano wakifuatia michango inayochangia wa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, wakatin wa kuchangia.  


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.