Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
Mbona Waafrika wapo kila kona ya dunia wakijishughulisha na biashara ndogo ndogo seuzu uturuki wazanzibar kibao wapo wakihangaika na maisha, mimi binafsi nimefurahiswa sana na hii ni changamoto kwa wazawa na maswali ya usafi na n.k.
Hizi biashara sio za wawekezaji,waachiwe wazawa nao wapate rizki zao.
ReplyDeleteMbona Waafrika wapo kila kona ya dunia wakijishughulisha na biashara ndogo ndogo seuzu uturuki wazanzibar kibao wapo wakihangaika na maisha, mimi binafsi nimefurahiswa sana na hii ni changamoto kwa wazawa na maswali ya usafi na n.k.
ReplyDeletelabda wamekuja kuwafunza hao wazawa
ReplyDelete