Habari za Punde

Mambo ya Foro, Waturuki nao wamo!

Mjasiriamali kutoka Uturuki akiwajibika katika kuandaa mikate maalum ambayo huandaliwa hapohapo na kuuziwa wateja Fresh 



Mutuki akikuandalia chakula aina ya Mushawar ambacho huuzwa kwa sh 3500/-



3 comments:

  1. Hizi biashara sio za wawekezaji,waachiwe wazawa nao wapate rizki zao.

    ReplyDelete
  2. Mbona Waafrika wapo kila kona ya dunia wakijishughulisha na biashara ndogo ndogo seuzu uturuki wazanzibar kibao wapo wakihangaika na maisha, mimi binafsi nimefurahiswa sana na hii ni changamoto kwa wazawa na maswali ya usafi na n.k.

    ReplyDelete
  3. labda wamekuja kuwafunza hao wazawa

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.