Habari za Punde

Usafiri wa Baskeli Zenj.

Usafiri wa b aske.li kwa Visiwa vya Zanzibar ni  maarufu kwa wakazi wake takriba kila Mwanan chi anamiliki baskeli mjini Zenj Wanafunzi hawa wa Skuli ya Msingi Muyuni B wakijitayarisha kupanda baskeli ili kurudi nyumbani baada ya kumaliza masomo yao. Baskeli imekuwa ni moya ya usafiri mwepesi na wa nafuu kwa Wakazi wa Kijijini. 


1 comment:

  1. Jinsi watoto walivokua Masikini Wengine Wanapanda Mikweche yao bila ya Viatu.. Na Tukiambiwa wazanzibari tuzinduke ili Tupate maendeleo ya kweli ndio kwanza Tunahubiri chuki.. Huko Muyuni watu wake wengi ni Anti Opposition Anti wapemba.. Antu SUK

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.