Meli ya Azam Sealink ikitowa huduma ya usafiri kati ya Visiwa vya Unguja na Pemba imepunguza shida ya usafiri kati ya visiwa hivi viwili iliokuwa ikiikabili na kufikia tiketi kuuzwa kwa bei ya juu kwa wasafiri wa sehemu hizo kutokana na upungufu wa vyombo vya usafiri, kama inavyoonekana picha abiria wanaokwenda kisiwani pemba wakipanda meli hiyo katika bandari ya zanzibar.
Orodha fupi ya Tuzo ya Kiswahili ya SAFAL 2024 yatangazwa Dar es Salaam
-
Dar es Salaam, Juni 26, 2025 – Tuzo ya Kiswahili ya SAFAL ya Fasihi ya
Afrika imetangaza orodha fupi ya miswada iliyofuzu kwa mwaka 2024,
ikionesha us...
2 minutes ago
Lakini "First Class" ya meli hii siku meli ikijaa ni majanga tu. Watu wanajaa kule juu na kila mmoja anataka nafasi ya kulala. Dawa yake ni kule juu kujengwe ili kuwa kuna viti vya uhakika na sio yale "makochi". Pia meli hii ikinyesha mvua ni majanga pia. Hasa ikiwa imejaa. Lakini ndio meli ya Pemba, tushazoea shida.
ReplyDelete