Meli ya Azam Sealink ikitowa huduma ya usafiri kati ya Visiwa vya Unguja na Pemba imepunguza shida ya usafiri kati ya visiwa hivi viwili iliokuwa ikiikabili na kufikia tiketi kuuzwa kwa bei ya juu kwa wasafiri wa sehemu hizo kutokana na upungufu wa vyombo vya usafiri, kama inavyoonekana picha abiria wanaokwenda kisiwani pemba wakipanda meli hiyo katika bandari ya zanzibar.
MWENGE WA UHURU WAWASILI WILAYA YA MJINI UNGUJA
-
Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B Hamida Mussa Khamis kushoto akimkabidhi
Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Mjini Rashid Simai Msaraka ili kuutembeza
katika ...
29 minutes ago
Lakini "First Class" ya meli hii siku meli ikijaa ni majanga tu. Watu wanajaa kule juu na kila mmoja anataka nafasi ya kulala. Dawa yake ni kule juu kujengwe ili kuwa kuna viti vya uhakika na sio yale "makochi". Pia meli hii ikinyesha mvua ni majanga pia. Hasa ikiwa imejaa. Lakini ndio meli ya Pemba, tushazoea shida.
ReplyDelete