Habari za Punde

Ligi Daraja la Pili Taifa Wilaya ya Mjini Kundemba na Sayari Fc. Amaan

Beki wa timu ya Satari Fc akikimbilia mpira huku mchezaji wa timu ya Kundemba akijiandaa kuchukua mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Daraja la Pili Taifa Wilaya ya Mjini Unguja.Timu ya Kundema imeshinda 1--0. mchezo uliofanyika uwanja wa amaan. 
Mchezaji wa timu ya Sayari Fc akimpita beki wa timu ya Kundemba katika mchezo wa Ligi Daraja la Pili Taifa uliofanyika uwanja wa amaan. timu ya Kundemba imeshinda 1--0.
           Wapenzi wa timu ya Kundemba wakifuatilia mchezo wa timu yao katika uwanja wa amaan.
Mshambuliaji wa timu ya Kundemba wakiwapita mabeki wa timu ya Sayari Fc, mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Kundemba imeshinda 1--0
Mshambuliaji wa timu ya Kundemba akijaribu kufunga huku golikipa wa timu ya Sayari FC, akiokoa mpira huo  
Wapenzi wa mchezo wa Mpira Zanzibar wakifuatilia mchezo kati ya Kundemba na Sayari FC, uliofanyika uwanja wa Amaan. 
Kocha Mkuu wa Timu ya Kundemba Seif Bausi akifuatilia mchezo huo uliokutanisha timu yake na timu ya Sayari FC uliofanyika katika uwanja wa Amaan, timu yake imetoka na ushindi wa bao 1--0.





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.