Habari za Punde

Mafunzo ya Ujasiri amali wa mazao yafanyika Pemba

 Wajasiria Mali kutoka Kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa Makini Mwalimu wa Ujasiri amali akiwapatia maelezo juu ya usindikaji wa Mazao mbali mbali
Wajasiri amali mbali mbali Kisiwani Pemba, wakipatiwa mafunzo ya Vitendo juu ya Usindikaji wa zao la TUNGULE, huko katika mafunzo yao yaliofanyika katika Ukumbi wa Chumvi, Wawi Pemba.

Picha na MEIBAKU MOLEL TSJ -PEMBA
.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.