Habari za Punde

Rais Obama amtumia salamu za Kheri Rais Kikwete

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama leo  jijini Baltimore,
Maryland, Marekan
  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi
Liberata Mulamula na ujumbe wake wa maafisa waandamizi wa ubalozi wa
Tanzania nchini Marekani baada ya kupokea  salamu maalumu za kumtakia
kheri na afya njema  kutoka kwa Rais Barack Obama wa Marekani leo
jijini Baltimore,  Maryland, Marekani.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi Liberata Mulamula na ujumbe wake wa maafisa waandamizi wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani baada ya kupokea  salamu maalumu za kumtakia
kheri na afya njema  kutoka kwa Rais Barack Obama wa Marekani leo jijini Baltimore,  Maryland, Marekani.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington D.C. wakati walipomtembelea mjini Baltimore Maryland ambapo balozi Liberata Mulamula aliwasilisha kwa Rais Kikwete Salamu maalum za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais Barack Obama leo jijini Baltimore, Maryland, Marekani.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington D.C. wakati walipomtembelea mjini Baltimore Maryland ambapo balozi Liberata Mulamula aliwasilisha kwa Rais Kikwete Salamu maalum za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais Barack Obama leo jijini Baltimore, Maryland, Marekani(Picha na Fred Maro).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.