Habari za Punde

Bunge la AWEPA watembelea Wakulima wa Mwani Pemba

Wabunge wa Bunge la AWEPA, wanaowakilisha Afrika na Dunia wakiwa katika ziara yao kisiwani Pemba wakiwa na Mbunge anayeiwakilisha Tanzania Mhe Hamadi Rashid Mohammed, wakimsikiliza Afisa wa Idara Mipango Idara ya Mazao ya Baharii Ndg.Ali Said Hamad.wakati wabunge hao walipotembelea wakulima wa Mwani Tumbe kisiwani Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.