Mmmoja watuhumiwa wa ujambazi katika maeneo ya darajani akiwa chini ya ulinzi wa Polisi akiwa katika gari waliokuwa kulitumia kwa ujambazi huo.aina ya Rav4. na nyengine aina ya Noah.
Wananchi wakiwa na asira wakiwa katika mtaa wa darajani wa wakishuhudia jeshi la Polisi Zanzibar kuzima jaribio la ujambazi katika maeneo ya darajani makonte, na kuwadhibiti majambazi watatu wakiwa katika harakati za kuvumia katika maeneo hayo kwa kutaka kupora, majambazi wawili wamekamatwa na mmoja kukimbia.
Wananchi wakishuhudia tukio la kufanyika kwa ujambazi katika maduka ya darajani.
Mtuhumiwa wa ujambazi akiwa ndani ya gari ya Polisi baada ya kupata kipigo kutoka kwa Wananchi wenye hasira wakati wakiwa katika harakati za kutaka kukimbia jirani na skuli ya Darajani baada ya kutelekeza gari waliokuwa wakiitumia aina ya Noah.
Gari aina ya Noah linalosadikiwa lilitumika katika tukio la ujambazi katika maeneo ya darajani likiwa limetelekezwa baada ya watuhumiwa hao wakiwa katika harakati za kuwakimbia Askari katika eneo la mbele ya skuli ya Darajani.
Chezea wazanzibari eee. Uibe darajani city center halafu ukimbie usife. Heko wazanzibari. Usalama wa Zanzibar ni jukumu la kila mzanzibari.
ReplyDeleteZenj ni njema kila atakae aje!!
ReplyDeleteZenji ni njema kila atakae aje hata kama ni jambazi, mlango uko wazi,
ReplyDeleteHawa ni watanganyika sasa wamepewa ramani tu hawajijui hawajitambui waliona unguja ni wala urojo tu, mmmmhhh tajibeba mumekuja kwa mbwembwe munarudi kwa vitenga.
ReplyDeletehao ni wanzanzibar na huyo aliyejeruhiwa ni mpemba anaishi Unguja.Polisi wanamjuwa vizuri
ReplyDelete