MJUMBE wa Halmashauri kuu ya ya CCM Tifa Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza na wana wanachama wa Chama cha Mapinduzi wa Mikoa Miwili ya Pemba, huko katika ukumbi wa Skuli wa Fidel Castro Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MAKAMO mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Zanzibar, Mhe: Asha Bakari Makame akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi wa Mikoa Miwili ya Pemba, huko katika ukumbi wa Skuli wa Fidel Castro Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment