Habari za Punde

Chemchem ya Gawani Wete ikiwa katika matengenezo



MAFUNDI wa mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA), Tawi la Pemba wakiwa katika harakati za kutengeneza chemchem ya maji gawani wete, iliyoingia mchanga hivi karibuni, ili kuweza kurudisha huduma za maji safi na lama kwa wananchi wa Wilaya ya Wete, iliyosimama kufuatia chemchem hiyo kuingia mchanga.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.