Habari za Punde

Dk. Shein Ashiriki Maziko ya Muasisi wa CCM Mzee Makame Suleiman

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kulia) akijumuika na Waislamu na Viongozi katika Kumswalia aliyekuwa Mwenyekiti wa Wazee wa CCM Marehemu Mzee Makame Mzee Suleiman katika Msikiti wa Ijumaa  Mgenihaji Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Marehemu alifariki jana Nyumbani kwake Amani Mjini Unguja
 Wananchi na Waislamu wakilibeba Jeneeza la Marehemu Mzee Makame Mzee Suleiman aliyekuwa Mwenyekitiwa Wazee wa CCM na kuzikwa lao kijijini kwako Mgenihaji Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katika) akijumuika na Waislamu na Viongozi katika Maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Wazee wa CCM Marehemu Mzee Makame Mzee Suleiman aliyezikwa leo kijijini kwao  Mgenihaji Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  akitia udongo katika kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa Wazee wa CCM Marehemu Mzee Makame Mzee Suleiman aliyezikwa leo kijijini kwao  Mgenihaji Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.