Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akizungumza na Watendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya
Jamii Zanzibar (ZSSF)Tawi la Pemba, huko kwareni Vitongoji wakati alipokwenda
kuangalia eneo lililokusudiwa kujengwa nyumba za Mikopo nafuu
Waziriwa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akipata maelezo ya moja ya risiti ya uwingizaji wa bidhaa
kisiwani Pemba, kutoka katika Ofisi ya TRA Bandarini Wete, mara baada ya
kufanya ziara ya kushutiza kwenye ofisi hiyo, kushoto ni mkuu wa TRA Wete na kulia ni afisa mdhamini Wizara ya Fedha Pemba
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee, akizungumza
na walimu wa skuli ya msingi Maziwa ngombe Wilaya ya Micheweni, mara baada ya
kukagua hatua zilizofikiwa za ujenzi wa Vyoo alivyoahidi kuvijenga skulini Hapo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment