Habari za Punde

Dk Shein akutana na balozi wa Rwanda nchini

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Eugene S.Kayihura alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (kulia) akibadilishana mawazo na  Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Eugene S.Kayihura (katikati) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika jana Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Mshauri wa Rais Uhusiano wa Kimataifa, Uchumi na Uwekezaji Balozi wa Mohamed Ramia Abdiwawa.  Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.