Habari za Punde

Mambo ya Kupata habari

Mjasiriamali wa biashara ya matunda katika mitaa ya Mji Mkongwe akiwa bizi na kupata habari mbalimbali kupitia moja ya magazeti yanayochapishwa Tanzania wakati askisubiri wateja wa bidhaa hizo katika mtaa wa Mkunazini Unguja jana.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.