Habari za Punde

Matayarisho ya mahafali ya kwanza Zanzibar College of Business Education

WANAFUNZI wahitimu wa Chuo cha Zanzibar College Business Education ZCBE, kilichopo mejengo ya Chuo cha Amali Vitongoji Chake chake Pemba, wakifanya matayarisho ya kabla ya kufanyika kwa mahafali ya kwanza ya chuo hicho ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Pili wa rais Zanzibar Mhe: Balozi Seif Ali Idd, Jumamosi (picha na Haji Nassor, Pemba).   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.