Habari za Punde

Simba Yatoa Kipigo kwa timu ya JKT Ruvu 2--1

 
Kikosi cha timu ya Simba SC kilichoanza leo dhidi ya timu ya JKT Ruvu Uwanja wa taifa na kushinda bao 2-1.
 Kikosi cha timu ya JKT Ruvu kilichomenyana na timu ya Simba na kukubali kipigo cha mabao 2--1 katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mchezo uliofanyika uwanja wa Taifa Dar.
                                  Makapteni wakisalimiana na marefa kabla ya mechi
Mashabiki wa Simba wakishangilia.timu yao baada ya kupaa bao la pili katika mchezo huo wa ligi kuu ya Vodacom iliofanyika katika uwanja wa Taifa Dar. 
Wachezaji wa Simba wakiwasalimia mashabiki baada ya mechi.
Timu ya Simba SC, imeshinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu leo Uwanja wa Taifa, Dar. Sasa ina pointi 16.
Mfungaji kwa upande wa Simba ni Danny Sserunkuma kipindi cha kwanza na kipindi cha pili.
(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.