Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mdogo mpya wa India anaefanyia kazi zake Zanzibar Satendar Kumar alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi Mdogo mpya wa India anaefanyia kazi zake Zanzibar Satendar Kumar alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao aliyefika kujitambulisha,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mdogo mpya wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe,Ali Abdulla Al-Rashdi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mdogo mpya wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe,Ali Abdulla Al-Rashdi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi Mdogo mpya wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe,Ali Abdulla Al-Rashdi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao aliyefika kujitambulisha,[Picha na Ikulu.]
dk Sheni hao si wana nia ya kupindua znz tena naona unawasifu?
ReplyDeleteau mzee sita kakuruhusu uwe nao karibu?, au hawana matatizo tena?, au kenye kupokea misaada huwa hawano neno? maana hata wakina 6 huwaona wanaomba hukohuko nao.
ReplyDeleteMwambie aturejeshee nyaraka zetu haraka.
ReplyDelete