Habari za Punde

Serikali yakabidhi boti za kuvunia mwani kwa wakulima Pemba

 Baadhi ya Boti zilizokabidhiwa kwa Wakulima wa Mwani wa Shehia 6 za Kisiwa cha Pemba kwa ajili ya kuvunia mwani.
Naibu Katibu Mkuu  Wizara ya Uwezeshaji , Ajira , Maendeleo ya Wanawake na watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Ali Khamis Juma, akizungumza na Wakulima wa Mwani kabla ya kukabidhi Boti ya kuvunia Mwani kwa Wakulima hao huko katika Viwanja vywa Wizara ya mawasilinao na Miundombinu Tibirinzi Pemba.

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji , Ajira, Maendeleo ya Wanawake na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Ali Khamis Juma , akikabidhi Mikataba ya Umiliki  Boti kwa wakulima wa Mwani Kisiwani Pemba .
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji , Ajira, Maendeleo ya Wanawake na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Ali Khamis Juma , akikabidhi Mikataba ya Umiliki  Boti kwa wakulima wa Mwani Kisiwani Pemba .
Baadhi ya Boti zilizokabidhiwa kwa Wakulima wa Mwani wa Shehia 6 za Kisiwa cha Pemba kwa ajili ya kuvunia mwani.

Picha na Bakar Mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.