Mwenyekiti wa Chama cha Albino
Tanzania Bw. Ernest Kimaya akisoma nakala za Katiba Inayopendekezwa yenye
maandishi yaliyokuzwa mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Katiba na Sheria
Dkt. Asha-Rose Migiro (kulia) katika hafla fupi ya kugawa nakala hizo
zilizoandaliwa na Serikali kwa taasisi mbalimbali iliyofanyika katika Ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Machi 16, 2015). (Picha: Farida
Khalfan, Wizara ya Katiba na Sheria)
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.
Asha-Rose Migiro, Naibu wake Ummy Mwalimu katika picha ya pamoja na wawakilishi
wa asasi za kiraia katika hafla fupi ya kugawa nakala za Katiba Inayopendekezwa
zilizoandaliwa na Serikali kwa taasisi mbalimbali iliyofanyika katika Ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Machi 16, 2015). (Picha: Farida
Khalfan, Wizara ya Katiba na Sheria)
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.
Asha-Rose Migiro akimkabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa mwakilishi wa
Taasisi ya Mabohora Bw. Zainuddin Adamjee katika hafla fupi ya kugawa nakala
hizo kwa taasisi mbalimbali iliyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar
es Salaam leo (Jumatatu, Machi 16, 2015). (Picha: Farida Khalfan, Wizara ya
Katiba na Sheria)
Viongozi wa
dini -
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro, Naibu wake Ummy Mwalimu
katika picha ya pamoja na viongozi wa taasisi za kidini katika hafla fupi ya
kugawa nakala za Katiba Inayopendekezwa zilizoandaliwa na Serikali kwa taasisi
mbalimbali iliyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo
(Jumatatu, Machi 16, 2015). (Picha: Farida Khalfan, Wizara ya Katiba na Sheria)
Mwenyekiti wa Chama cha Albino
Tanzania Bw. Ernest Kimaya akisoma nakala za Katiba Inayopendekezwa yenye
maandishi yaliyokuzwa mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Katiba na Sheria
Dkt. Asha-Rose Migiro (kulia) katika hafla fupi ya kugawa nakala hizo
zilizoandaliwa na Serikali kwa taasisi mbalimbali iliyofanyika katika Ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Machi 16, 2015). (Picha: Farida
Khalfan, Wizara ya Katiba na Sheria)
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.
Asha-Rose Migiro akimkabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa mwakilishi wa
Baraza Kuu la Taasisi na Jumuiya za Kiislam Sheikh Mussa Kundecha katika hafla
fupi ya kugawa nakala hizo zilizoandaliwa na Serikali kwa taasisi mbalimbali
iliyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu,
Machi 16, 2015). (Picha: Farida Khalfan, Wizara ya Katiba na Sheria)
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.
Asha-Rose Migiro akimkabidhi nakala za Katiba Inayopendekezwa Katibu Mkuu,
Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka katika hafla fupi ya kugawa nakala
hizo kwa taasisi mbalimbali iliyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar
es Salaam leo (Jumatatu, Machi 16, 2015). Dkt. Turuka alipokea kwa niaba ya
Makatibu Wakuu wenzake. (Picha: Farida Khalfan, Wizara ya Katiba na Sheria)
No comments:
Post a Comment