Mwonekano wa Hoteli
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed akizungumza na
wananchi wa Machomanne Chake Chake Pemba, kabla ya kuifunguwa hoteli ya
Muwekezaji Mzalendo wa Pemba.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, akihimiza jambo
kabla ya kuifungua hoteli ya Mzalendo kisiwani Pemba, Halfan Hababu
(Kidishi)kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akiwa
pamoja na viongozi mbali mbali wa Serikali.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, akikata utepe
kuashiria kuifungua rasmi hoteli inayomilikiwa na Mzalendo wa kisiwani Pemba,
Halfan Hababuu (Kidishi), huko katika maeneo ya Machomanne Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
KATIBU Tawala Wilaya
ya Chake Chake Mhe:Rashid Khadid akimuonesha waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, mazingira ya mji wa Chake
Chake ukiwa juu ya hoteli ya Mzalendo wa Kisiwa cha Pemba,
(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment