Habari za Punde

Muonekano wa Jumba la Trein kabla ya kuanza harakati katika eneo hilo.

Muonekano wa jumba la Trein Darajani wakati wa asubuhi kabla ya kuanza kwa harakati za Wajasiriamali wanaofanya biashara zao katika eneo hilo la mbele ya jengo hilo. Hivi karibuni ilitolewa maagizo kuhama kwa wakazi wa nyumba hiyo ili kupisha matengenezo kutokana na jengo hilo kuchoka likiwa la siku nyingi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.