Habari za Punde

Rais Dk Shein Azungumza na Ujumbe wa Bodi ya TRA Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya TRA Benard S.Mchonvu wakati alipoongoza ujumbe wa Bodi hiyo leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na ujumbe wa Bodi TRA ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo asubuhi ukiongoza na Mwenyekiti wake Benard S.Mchonvu (wa tatu kushoto)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na ujumbe wa Bodi TRA baada ya mazungumzo yaliyofanyika  Ikulu Mjini Zanzibar  leo asubuhi (kushoto)  Mwenyekiti wake Benard S.Mchonvu ( katikati) Rished Bad TRA Dar es Salaam,[Picha na Ikulu.] 

1 comment:

  1. ndugu rais anaongea nini na hawa majambazi wenye kuwa na leseni kiserikali TRA ( tanzania robbers agency ) wenye kuwanyonya watz wote kwa ujumla na kuwakandamiza waznz

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.