Habari za Punde

Wadau wa Habari wa TBN na Clouds FM.wakiwa katika mkutano na Maofisa wa PSPF.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni PSPF, Ndg. Adam Mayingu, akizungumza na Wadau wa Sekta ya Habari Tanzania, walipofika katika Ofisi za Mfuko huo katika jengo la Golden Jubilee Tower lilioko mtaa wa Ohio mjini Dar-es-Salaam. wakati wa mkutano na wadau hao wa habari kupata uelewa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF. 
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni PSPF, Ndg. Adam Mayingu, akizungumza na Wadau wa Sekta ya Habari Tanzania, walipofika katika Ofisi za Mfuko huo katika jengo la Golden Jubilee Tower lilioko mtaa wa Ohio mjini Dar-es-Salaam. wakati wa mkutano na wadau hao wa habari kupata uelewa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF. 
Wadau wa habari wa TBN wakiwa katika mkutano huo na Maofisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF wakati wa mkutano wao wa kupata maelezo ya Mfuko huo. 
 Wadau wa Habari wakiwa makini kufuatilia maelezo ya mkutano huo kupata maelezo ya Mfuko huo.wakiwa katika chumba cha mkutano ofisi za PSPF.
Mkurugenzi Uendeshaji Bi Neema I Muro, akizungumzia na wadau wa habari wakati wa mkutano wao na wadao hao ili kuijua PSPF, katika utendaji wake kwa Wanachama wa Mfuko huo,  
Wadau wa habari wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakifuatilia mkutano huo wa Wadau wa Habari wa TBN na redio Clouds FM, wakipata maelezo ya mfuko huo.
 Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari wa Mfuko wa Pensheni PSPF,Bi Mwanjaa I.Sembe akitowa maelezo ya uchangiaji wa hiari kwa Wananchi wajasiriamali wa biashara ndogo ndogo kuweza kujiunga na mfuko huo ili kujiwekea hakiba kupitia Uchangiaji wa Hiari.Na kuwahamashia Wadau wa Habari kujiunga na Mpago huo wa Uchangiaji wa Hiari wakati wa mkutano huo. Na kusisitiza hata Watanzania walioko nje ya Nchi wanaweza kujiunga na Mpango wa Uchangiaji wa Hiari,wanayo fursa ya kujiunga.  
Maofisa wa Mfuko wa PSPF wakichukua michango ya Wadau wa Habari wakati wa mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa ofisi hiyo katika jengo la Golden Jubilee Tower mtaa wac Ohio Dar-es-Salaam, wakiwa katika ziara yao kutembelea mfuko huo  
Mwenyekiti wa Mablogger NetWork Ndg Mushi Jochim akichangia wakati wa mkutano huo wa wadau wa habari Tanzania uliowajumuisha TBN na Redi Clouds FM.
Mdau wa TBN Ndg Willian Malecela akichangia wakati wa mkutano huo wa wadau wa habari Tanzania, akichangia kuhusu mpango wa Uchangiaji wa hiari kutowa elimu kwa wanamichezo kutumia mpango huo kujiwekea hakida uzeeni kutokana na wanamichezo wengi wakati wakimaliza kucheza mpira hali yao kimaisha huo ya chini wakitumia mfuko huo wanufaika baada ya kustaafu mchezo huo na kutowa mfano wachezaji wa ulaya huwekewa akida katika mifuko kama hii na kufaidika baadae.
Mdau wa habari Ndg Gerald akichangia wakati wa mkutano huo wa Wadau wa Habari Tanzania wa Umoja wa TBN na wafanyakazi wa redio ya Clouds FM,akichangia mada kuwatazama wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuwahamasisha kujiunga katika Mpango wa Uchangiaji wa Hiari kujiwekea hakiba baadae baada ya kumaliza masomo mfuko huo kuja kuwasaidi na kujiweka katika mustakabal mzuri wa maisha yao wakiwa tayai wameshapata ajira.na kuelewa nini PSPF.  
Mdau wa Habari kutoka Jamii Foram Bi Asha, akichangia kuhusu kutumia mitandao ya Kijamii ili kutowa ufahamu kwa Wananchi faida ya PSPF,ili kuwafikia wananchi walio wengi kuona manufaa ya Mfoko wa Penshini Tanzania.  
Mkurugenzi Uendeshaji Bi Neema I Muro, akijibu na kutowa ufafanuzi wa michango iliochangiwa na Wadau wa Habari Tanzania wakati wa mkutano wao kutowa elimu ya Mfuko huo wa PSPF, kwa Wadau hao ndio kioo cha jamii katika kupasha habari jamii, kupitia katika vyombo vyao. 
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa PSPF Bi. Contantina M Martin, akijibu michango na masuali yalioulizwa wakati wa mkutano huo na wadau wa habari Tanzania uliowashirikisha  Wanachama wa TZ Bloggers Network na Wafanyakazi wa Redio ya Clouds FM, uliofanyika katika jengo la Golden Jubilee Tower mtaa wa Ohio Dar-es-Salaam. 

Wadau wa Habari wakijaza Fomu za Mpango wa Hiari wa Uchangiaji wa Mfuko wa PSPF baada ya mkutano huo wakiwa bizz kujaza fomu hizo kujiwekea akiba uzeeni kupitia Mchango wa Hiari ulioazishwa na PSPF kwa Wajasiriamali na wananchi kwa jumla kujiwekea fedha kupitia mfuko huo ikiwa ni fursa kwa Wananchi waliokuwa sio Waajiriwa wa Serekali na kupata fursa ya kujiwekea kupitia PSPF. 
Wadau wa Habari wakijaza Fomu za Mpango wa Hiari wa Uchangiaji wa Mfuko wa PSPF baada ya mkutano huo wakiwa bizz kujaza fomu hizo kujiwekea akiba uzeeni kupitia Mchango wa Hiari ulioazishwa na PSPF kwa Wajasiriamali na wananchi kwa jumla kujiwekea fedha kupitia mfuko huo ikiwa ni fursa kwa Wananchi waliokuwa sio Waajiriwa wa Serekali na kupata fursa ya kujiwekea kupitia PSPF. 
Mwenyekiti wa TBN Ndg Mushi na Katibu wake Bi Shamim wakijaza fomu hizo za Mpango wa Hiari wa Kuchagiaji Mfuko wa PSPF. 
PSPF wako juu katika kutowa huduma kwa Wanachama wao katika Mfuko wa Pensheni nami nimehamasika kujiunga katika Mpango wa Hiari Uchangiaji Mfuko wa PSPF nikiwa tayari mimeshajiunga leo na Wewe utajuinga lini kazi kwako. 
            Wadau wa TBN Othman Michuzi na William wakikamilisha taratibu za kujiunga PSPF.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.