Habari za Punde

Ajali lakini salama

Wananchi wakimsaidia mpanda pikipiki wakati akitaka kuagua baada ya kuteleza huku gari ikiwa karibu yake, lakini katika tukio hili hakuna madhara yaliotokea, chanzo cha ajali hiyo ni kuzidiwa kwa mzigo aliobeba mpanda pikipiki.huyu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.