Benki ya NMB Tawi la Darajani mjini Zanzibar imekabidhi msaada wa madawati 50 yenye thamani ya sh.milioni 5 kwa skuli ya msingi ya Bububu nje kidogo ya mji wa Zanzibar jana katika sherehe iliyofanyika skulini hapo ambapo Meneja wa NMB Tawi la Darajani, abdallah Duchi alimkabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Wazazi wa skuli hiyo, Chausiku Hindi Saad.
Abdallah Duchi akikagua kazi za wanafunzi muda mfupi baada ya kukabidhi madawati.
Picha zote na Martin Kabemba
No comments:
Post a Comment